15 December, 2015

Mwana FA aelezea mpango wa kuwashirikisha rappers wengine wakubwa Afrika kwenye Rmx ya ‘Asante kwa kuja’


Mwana Fa ameelezea mpango wake wa kufanya African Rmx ya wimbo wake mpya ‘Asante kwa kuja’
12298952_951039554970796_1769017982_n2
Akijibu swali kwenye kipindi cha XXL kama ana mpango wa kufanya rmx ya wimbo huo na AY na Fid Q ambao wameonesha nia ya kutaka kuflow kwenye beat la wimbo huo, Fa alielezea mpango wake wa kuwashirikisha rappers wengine wawili wakubwa Afrika kwenye rmx ya wimbo huo, japo alisema ‘Sio guaranteed’
Katika hatua nyingine, Fa amesema video ya wimbo huo  itakuwa na version mbili, chafu na safi. Hata hivyo hakutaja ni lini video hiyo itatoka.

Huddah Monroe asema anapungua mwili labda sababu ya kufanya sana ngono!

post-feature-imageHuddah Monroe ni mwanamke anayetumia muda mwingi kusafiri katika nchi mbalimbali na kula bata. Lakini kingine ambacho anakifanya mara kwa mara ni kula uroda… mara tano, mara sita kwa siku?

Jibu analo mwenyewe lakini amekiri kuwa mwili wake umepungua sababu anavunja amri ya sita mara nyingi mno!

Mrembo huyo alipost picha ya kitambo na kuandika "#TBT! I miss my body like this ! Sema kukonda these past months? Been up and down like an Athlete, paper chasin �� and maybe too much SEX??��..........Anyways , see you guys in Mombasa , Reef hotel BEACH party on Saturday . I won't be posting all pics of events here apart from the OUTFITS . If you want to see how the party is going down LIVE! . FOLLOW on snap chat - #huddahmonroe . Thank you"

Bondia Floyd Mayweather sasa ni mmiliki wa saa yenye thamani ya pesa za kibongo bilioni 2.

Bondia Floyd Mayweather ambaye anafahamika kwa kupenda vitu vya kifahari kama nyumba na magari amenunua saa ya mkononi yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 1.1 ambazo ni kama bilioni mbili za Tanzania.
Saa hii amenunua akiwa dubai, msemaji wake amesema gharama ya saa hii ni dola $1.1, this is just one of his big purchases. Saa hii aliyonunua floyd ni brand ya HUBLOT.
Msemaji wa Floyd anasema ndani ya siku mbili bondia huyu ameweza kutumia dola milioni moja na nusu kwenye shopping tu.
1214-floyd-mayweather-tmz-2 1214-subasset-floyd-mayweather-tmz-2

14 December, 2015

Kanye west asema hataki mtu yoyote amuulize kuhusu ujio wa Album yake mpya, asema ikikamilika itatoka


Inaonekana sio Joh Makini tu ambaye hataki kuwa Bothered bali hata rapper wa marekani, Kanye west .
Kanye west  amesema anamalizia album yake mpya ‘swish’ lakini hataki mtu yoyote amuulize kuhusu ujio wa Album hiyo, “I’m finishing my album and my next collection…” ‘Kanye west aliandika kupitia Twitter “no offense to anyone… I’m asking everyone DON’T ASK ME FOR ANYTHING TILL AFTER I’M FINISHED WITH MY ALBUM.”

Kesi iliyokuwa ikimkabili Nelly ya kukutwa na dawa za kulevya yatupiliwa mbali


Inalipa kuwa na Mwanasheria mzuri !! Mashitaka yaliyokuwa yakimkabili rapper wa Marekani, Nelly ya kukutwa na dawa za kulevya kwenye tour bus lkake mwezi April mwaka huu yametupiliwa mbali.
Nelly alifunguliwa kesi hiyo mapema mwaka huu baada ya bus lake alilokuwa akilitumia kwenye tour kusimamishwa na polisi waliodai kusikia harufu ya bangi hivyo kulazimika kulikagua, iliripotiwa kuwa polisi hao walikuta kipande kidogo cha bangi na bastola iliyotengenezwa kwa dhahabu (Gold plated).

Baraka da Prince atajwa kwenye orodha ya wasanii wa kuwaangalia 2016 ya MTV Base


Kituo cha runinga cha MTV Base kimetoa orodha ya majina ya wasanii 32 wa kuangalia mwaka 2016 ‘Top African Acts To Watch Out For in 2016′
mtvbase
Msanii wa Bongo Fleva Baraka da Prince ni miongoni ya wasanii waliotajwa kwenye orodha hiyo kupitia wimbo wake wa ‘Siachani nawe’, Orodha hiyo imeangalia kiasi gani wasanii hao wame’hit nyumbani, namba za nyimbo zao kupata airtime wenye redio na runinga na ukubwa wa nyimbo zao mwaka 2016.
Hii ndio orodha kamili
1. Adekunle Gold – Orente
2. Aewon Wolf – Summer Fever
3. Anna Joyce – Ele E Melhor Que Tu
4. @barakah_daprince – Siachani Nawe
5. Dbn Nyts – Shumaya
6. DJ Mshega – Get Down
7. Di’Ja – Falling For You
8. Dosseh – Bando
9. Emtee ft. Wizkid & AKA – Roll Up (Remix)
10. Fifi Cooper – Puntsununu
11. Francko – Coller La Petite
12. Gigi LaMayne ft. Khuli Chana – Ice Cream (Remix)
13. Junior Taurus & Lady Zamar – Mamelodi
14. Kiss Daniel – Laye
15. Koker – Do Something
16. Korede Bellow – Godwin
17. Mr Bow – Number One
18. Mz Vee – Dancehall Queen
19. Nasty C ft. Davido & Cassper Nyovest – Juice Back (Remix)
20. Niniola – Ibadi
21. Prince Kaybee – Wajellwa
22. Prodigio – Playa
23. Rabs Vhafuwi & Mizz – Count Your Blessings
24. Reekado Banks – Chop Am
25. Shekinah & Kyle Deutsch – Back To The Beach
26. Simi – Jamb Question
27. Tekno – Duro
28. Timo ODV – F ind My Way
29. Tomi Thomas – Ready Or Not
30. Trademark & Zinhle – Mashonisa 31. WTF – Wangnika 32. YC – Jagaban

Director wa Bongo hawathamini kazi za wasanii ndio maana wanakimbilia nje!

post-feature-imageNimeamka leo nakusema niitizame video ya 'Malikia' aliyoimba Kala Jeremiah. Kwangu mimi namkubali sana Kala kwa kazi yake ambaye anaifanya kutokana na mashairi anayoimba yanakuwa yanabeba ujumbe ambao unafaa kwa jamii ya Tanzania na hata wengine wanao elewa lugha ya kiswahili.

Video nimoja ya njia inayoweza kumsababisha mwanamuziki kufika nje kupitia media zilizo nje ya Tanzania na watu wakaipenda mwisho wa siku hata msaniii huyo kupata show ughaibuni.

Video ya Kala imekuwa ya kawaida kama video ambazo tumezizoea ki Bongo bongo kitu ambacho kwasasa Watanzania wamekichoka na wanataka kitu kipya na ubunifu mpya. Msanii anaweza kuja na wazo lake la kimuziki kuwa anataka nini na director akaki convert nakutengeneza kitu amazing.

Lakini kwa video ya Kala Jeremiah director, editor na hata msanii mwenyewe hawajatutendea haki. Katika video ambayo tunasema impe msanii jina heshima sio yakuacha na kuonyesha Drone Camera kwenye video ambayo tunasema ni official, Labda kama ni behind the scene
tutaelewa lakini sio official.
 Soko la muziki wa Bongo limekuwa likilalamikiwa kwa uizi wa kazi za wasanii hadi leo wanaogopa kutoa album, je tutataka life kama tunavoona kwenye soko la filamu Tanzania 'Bongo Movie'? Director na wasanii kagueni kazi na muridhike nayo kabla ya kupeleka kwa jamii hata kama hutaki upate faida kutoka kwa kazi hiyo basi pata heshima!

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...