15 December, 2015

Mwana FA aelezea mpango wa kuwashirikisha rappers wengine wakubwa Afrika kwenye Rmx ya ‘Asante kwa kuja’


Mwana Fa ameelezea mpango wake wa kufanya African Rmx ya wimbo wake mpya ‘Asante kwa kuja’
12298952_951039554970796_1769017982_n2
Akijibu swali kwenye kipindi cha XXL kama ana mpango wa kufanya rmx ya wimbo huo na AY na Fid Q ambao wameonesha nia ya kutaka kuflow kwenye beat la wimbo huo, Fa alielezea mpango wake wa kuwashirikisha rappers wengine wawili wakubwa Afrika kwenye rmx ya wimbo huo, japo alisema ‘Sio guaranteed’
Katika hatua nyingine, Fa amesema video ya wimbo huo  itakuwa na version mbili, chafu na safi. Hata hivyo hakutaja ni lini video hiyo itatoka.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...