14 December, 2015

Kesi iliyokuwa ikimkabili Nelly ya kukutwa na dawa za kulevya yatupiliwa mbali


Inalipa kuwa na Mwanasheria mzuri !! Mashitaka yaliyokuwa yakimkabili rapper wa Marekani, Nelly ya kukutwa na dawa za kulevya kwenye tour bus lkake mwezi April mwaka huu yametupiliwa mbali.
Nelly alifunguliwa kesi hiyo mapema mwaka huu baada ya bus lake alilokuwa akilitumia kwenye tour kusimamishwa na polisi waliodai kusikia harufu ya bangi hivyo kulazimika kulikagua, iliripotiwa kuwa polisi hao walikuta kipande kidogo cha bangi na bastola iliyotengenezwa kwa dhahabu (Gold plated).

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...