15 December, 2015

Bondia Floyd Mayweather sasa ni mmiliki wa saa yenye thamani ya pesa za kibongo bilioni 2.

Bondia Floyd Mayweather ambaye anafahamika kwa kupenda vitu vya kifahari kama nyumba na magari amenunua saa ya mkononi yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 1.1 ambazo ni kama bilioni mbili za Tanzania.
Saa hii amenunua akiwa dubai, msemaji wake amesema gharama ya saa hii ni dola $1.1, this is just one of his big purchases. Saa hii aliyonunua floyd ni brand ya HUBLOT.
Msemaji wa Floyd anasema ndani ya siku mbili bondia huyu ameweza kutumia dola milioni moja na nusu kwenye shopping tu.
1214-floyd-mayweather-tmz-2 1214-subasset-floyd-mayweather-tmz-2

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...