Inaonekana sio Joh Makini tu ambaye hataki kuwa Bothered bali hata rapper wa marekani, Kanye west .
Kanye west amesema anamalizia album yake mpya ‘swish’ lakini hataki mtu yoyote amuulize kuhusu ujio wa Album hiyo, “I’m finishing my album and my next collection…” ‘Kanye west aliandika kupitia Twitter “no offense to anyone… I’m asking everyone DON’T ASK ME FOR ANYTHING TILL AFTER I’M FINISHED WITH MY ALBUM.”
no offense to anyone… I’m asking everyone DON’T ASK ME FOR ANYTHING TILL AFTER I’M FINISHED WITH MY ALBUM
— KANYE WEST (@kanyewest) December 13, 2015
Tetesi za ujio wa Album hiyo zilianza tangu mwishoni mwa mwaka 2014, lakini ziliongezeka zaidi baada ya Kanye west kutangaza jina la Album hiyo lakini inaonekana haitatoka mwaka 2015 pia kama wengi walivyotegemea.
No comments:
Post a Comment