Rapper Kanye West (37) na mke wake Kim Kardashian (34) wanatarajia kupata mtoto wa pili.Baada ya majaribio ya miezi kadhaa ya kushika ujauzito wa pili, Kim ameweka wazi kuwa ni mja mzito kupitia reality show ya Keeping Up With The Kardashians alipomueleza mdogo wake Khloe Kardashian juu
Hata hatujaisahau Fast and Furious 7, tumeletewa habari kwamba
mwendelezo unaendelea wa mfululizo wa movie hizo kwenye sehemu ya 8
ambapo Fast 8 inatarajiwa kutoka April mwaka 2017.