10 April, 2015

Itazame hapa Video mpya ya Rick Ross ‘Phone Tap’

Video nyingine kutoka kwa rapa Rick Ross imefanyika Geneva, Switzerland “Phone Tap”, ni video iliyojaa action kutoka kwenye album yake ya Hood Billionaire.



Mawerenewz.blogpot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA
Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Francis mawere the jr, Instagram>>>Zawadi_mawere. AKSANTE.

Mourinho:Taji la mchezaji bora lifutwe


Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho anaamini kwamba taji la mchezaji bora duniani Ballon d'Or linafaa kuondolewa.
Mourinho anasema kuwa lengo la soka linabadilika kutoka timu za soka hadi kwa wachezaji binafsi.
''Tuanaangazia mchezo wa mchezaji mmoja, pasi alizotoa na amekimbia kilomita ngapi uwanjani.Pengine ulikimbia kilomita 11 na mimi nilikimbia kilomita tisa,lakini kilomita zangu zilikuwa muhimu kushinda zako'',alisema Mourinho.
Amesema kuwa Chelsea boss Jose Mourinho believes the Ballon d'Or should be scrapped.
Je, unadhani FIFA inafaa kulifutilia mbali taji la mchezaji bora duniani.Ingia katika mtandao wetu wa facebook katika bbcswahili uweke maoni yako.
   

Mawerenewz.blogpot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA
Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Francis mawere the jr, Instagram>>>Zawadi_mawere. AKSANTE.

D BANJI MAHAKAMANI>>>


 

MWANAMUZIKI maarufu wa Nigeria anayejiita  ‘Eja Nla’  (Samaki Mkubwa) ambaye jina lake halisi ni , Dapo Oyebanjo,  akijulikana pia kama D’Banj,  hakufika mahakamani wakati wa kuanza kwa kesi ambayo anashitakiwa kwa kutolipa deni

Kesi hiyo ilikuwa ianze kuunguruma Machi 30 mwaka huu kwenye mahakama ya  Multi-Door Courthouse, eneo la Obalende, Lagos,lakini mwanamuziki huyo hakufika.  Mlalamikaji , Henry Ojogho, naye hakufika.
Hata hivyo, wakili wake (D’Banj) aitwaye  Dele Adeshina, alifika mahakamani.

Wakati huohuo, hakimu aliyepangwa kusikiliza kesi hiyo, Bi  Oyebanji, aliiahirisha hadi Mei 7 mwaka huu itakaposikilizwa tena.Ojogho, ambaye ni  Naibu Mwenyekiti wa kampuni la  Broron Group and MindHub Technologies, alidai kwamba  D’Banj ambaye ndiye mmiliki wa kampuni la DB Records, alimkopa Naira milioni 60 lakini akakataa kuzilipa kama alivyoahidi.

09 April, 2015

Hii ndiyo List ya makocha 10 wa soka wanaopokea mshahara mkubwa zaidi…



mor


Mtandao wa Richest Lifestyle umetoa list mpya February 2 2015 ya makocha wa mpira wa miguu wanaoongoza kwa utajiri kupitia soka.
Ukitofautisha na kipato cha makocha wa hapa kwetu ambao bado wamekuwa hawapewi kipaumbele kama ilivyo kwa wenzetu, huku klabu kubwa kama za Simba na Yanga bado zimeendelea kuwaamini makocha wa kigeni
Hii ndiyo list kamili ya makocha wenye kupokea kiasi kikubwa cha fedha ndani ya klabu zao:-

AKA KUTUA BONGO>>>>>>>>>

aka
Tarehe 1 mwezi 5 mwaka 2015 msanii Nasibu Abdul maarufu kama Diamond anatarajia kufanya show pale Mlimani city. Kupitia ukurasa wa instagram wa kampuni yake ya Wasafi Baby wameweka wazi ujio wa msanii maarufu wa Hip Hop kutoka South Africa anaitwa AKA
 ssssUkitaja majina ya wasanii wakubwa wa HipHop kutoka bondeni basi AKA lazima aingie kwenye top three ambapo hivi sasa anafanya vizuri na nyimbo zake Run Jozi na Congratulate.
Hii ni video ya Congratulate ambayo imefanya vizuri Africa nzima.

KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho amekiri wazi kupingana na...........

arsene-wenger-jose-mourinho-arsenal-chelsea-12102014_c3kcoadkrs1n16d0z98wrdsxl
KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho amekiri wazi kupingana na........

BAADA ya kulazimishwa sare nyumbani dhidi ya Malawi, Tanzania imeporoka kwa nafasi saba

ulimwengu
ZURICH, Uswisi
‘Mwezi uliopita Tanzania ilipanda kwa nafafasi saba kutoka 107 hadi 100, lakini imerejea tena katika nafasi hiyo ya chini.’
BAADA ya kulazimishwa sare nyumbani dhidi ya Malawi, Tanzania imeporoka kwa nafasi saba katika viwango vya kila mwezi vya ubora wa soka vilivyotolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) leo.

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...