Mtandao wa Richest Lifestyle umetoa list mpya February 2 2015 ya makocha wa mpira wa miguu wanaoongoza kwa utajiri kupitia soka.
Ukitofautisha na kipato cha makocha wa
hapa kwetu ambao bado wamekuwa hawapewi kipaumbele kama ilivyo kwa
wenzetu, huku klabu kubwa kama za Simba na Yanga bado zimeendelea
kuwaamini makocha wa kigeni
1. Pep Guardiola
2. Jose Maourinho
Huyu ni kocha wa Chelsea ambaye anajulikana kwa kuwa na maneno mengi,kwa sasa yupo mbioni kuwania ubingwa wa ligi kuu ya England,ni kocha anashika nafasi ya pili kwa kulipwa kiasi kikubwa cha pesa na hupokea kiasi cha dola milioni 17 |
3. Marcello Lippi
Ameifundisha kwa mafanikio makubwa timu ya Taifa ya Italy na kufanikiwa kutwaa kombe la dunia mwaka 2006,anapokea kiasi cha dola milioni 14 |
4. Fabio Capello
Huyu ni kocha wa timu ya Taifa ya Russia,anapokea kiasi cha dola milioni 13 |
5. Carlo Ancelotti
Huyu ni kocha mkuu wa Real Madrid, anapokea kiasi cha dola milioni 10.5 |
6. Arsene Wenger
Amekuwa kocha wa Arsenal toka mwaka 1996, na anapokea kiasi cha dola milioni10 |
7. Gerardo Martino
Huyu ni kocha wa Argentina,anapokea kiasi cha dola milioni 7.5 |
8. Jurgen Klopp
Huyu ni kocha wa Borrusia Dortmund, anapokea kiasi cha dola milioni 6 |
9. Manuel Pellegrini
Huyu ni kocha wa Manchester City, anapokea kiasi cha dola milioni 5.75 |
10. Jorge Jesus
Huyu ni kocha wa klabu ya Benefica tangu mwaka 2009, anapokea kiasi cha dola milioni 5.5
No comments:
Post a Comment