09 April, 2015

AKA KUTUA BONGO>>>>>>>>>

aka
Tarehe 1 mwezi 5 mwaka 2015 msanii Nasibu Abdul maarufu kama Diamond anatarajia kufanya show pale Mlimani city. Kupitia ukurasa wa instagram wa kampuni yake ya Wasafi Baby wameweka wazi ujio wa msanii maarufu wa Hip Hop kutoka South Africa anaitwa AKA
 ssssUkitaja majina ya wasanii wakubwa wa HipHop kutoka bondeni basi AKA lazima aingie kwenye top three ambapo hivi sasa anafanya vizuri na nyimbo zake Run Jozi na Congratulate.
Hii ni video ya Congratulate ambayo imefanya vizuri Africa nzima.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...