20 September, 2016

Kilimanjaro Queens yatwaa ubingwa wa CECAFA 2016

Timu ya Taifa ya Wanawake ‘Kilimanjaro Queens’ yaifunga Harambe Starlets ya Kenya 2-1 na kutwaa Kombe la Chalenji la CECAFA 2016 huko Jinja, Uganda leo jioni.
14390765_10154543673149339_1241431227057215031_n
Magoli ya Tanzania yamefungwa na Mwahamisi Omar dk 28, 45, Kenya limefungwa na Christina Nafula.
Tanzania walifika fainali baada ya kuwalaza wenyeji Uganda 4-1 mechi ya nusu fainali.

Download :Witnesz Kibonge Mwepec & Ochu Sheggy ft Snura & Mzee yussuf - JIRANI

OTCHUNES presents Witnesz Kibonge Mwepec & Ochu Sheggy ft Snura & Mzee yussuf - JIRANI. 

Wimbo unahusu majirani Wa Kiume Wawili ambao wameoa na Kila moja anatamani na wana tabia za kutongoza mke Wa Jirani Yake! 


Audio produced by Chrixstone beats under flava productions video made with Dreams Multimedia under visualizer creator pro in cooperation with OTCHUNES

Download: STAR - Foby

C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.

Justin Bieber na mpenzi wake Sofia Richie waachana

Penzi la mwanamuziki maarufu ulimwemguni Justin Beiber na Sofia Richie ambaye ni mtoto wa mwanamuziki mkongwe nchini Marekani Lieonel Richie Limeingia wenda wazimu na hatimaye wawili hoa wamwagana-  Mtandao wa TMZ umeripoti.

Chanzo cha karibu na wapenzi ho kiliuambia mtando huo wa TMZ kwamba wawili ho hawakuawa teyari kuanza safari hiyo ya mapenzi licha ya kuonekana pamoja nchini Mexico kwenye Birthday ya Mwanadada Sofia Richie ambapo alikua akitimiza miaka 18, tangu hapo hawakuonekana tena hadharani na hawakuwa wakiongea tena pamoja.

Mwana dada Sofia Richie alionekana mnamo Siku ya Juma pili akiwa na marafiki zake wakila bata bila kuwaza chochote yani.


Mourinho: Morali wa Man United umepungua

Mkufunzi wa manchester United Jose Mourinho 
Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho anasema kuwa wachezaji wake wanafaa kujizatiti wakati maamuzi yanapofanywa dhidi yao baada ya kushindwa 3-1 na Watford ,na hivyobasi kupoteza mara tatu mfululizo katika kipindi cha siku nane.

Hatahivyo Mourinho amesema kuwa timu yake ndio iliokuwa bora na ingefaa kujipatia ushindi.

Amesema kwa sasa wanaangazia makosa ya kibinafsi pamoja na yale ya timu yote kwa jumla.

''Bao la pili lilikuwa makosa ya kibinafsi ,lakini hilo tunaweza kulitatua'',Mourinho.

Ndoto Yangu Kushinda Grammy- Vanessa Mdee

Mwanamuziki wa kike anayesumbua ndani na nje ya Bongo, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema ana ndoto kubwa.

Ndoto yake siku moja, kuwa msanii kutoka Tanzania atakayeshinda tuzo za heshima, Grammy.Anaamini kuwa, mwanzo wa kukaribia kuiishi ndoto hiyo umewadia.

Vee Money ni mmoja wa wasanii wa Afrika, waliochaguliwa kurekodi wimbo na mshindi wa Grammy na nyota wa RnB nchini Marekani, Trey Songz.
Shukrani kwa kipindi cha Coke Studio Africa (International Week) msimu wa 4, kinachomdondosha staa huyo.

Akiwa pia anawania tuzo ya Loeries za Afrika Kusini kwa kazi yake ya video bora, Niroge.

“Katika harakati zangu za kutafuta ushindi wa Grammy katika career yangu ya muziki, inanipa nguvu kufanya kazi kwa ukaribu na Trey Songz, ambaye alishawahi kushinda tuzo hiyo.” amesema Vanessa.
Msimu mpya wa Coke Studio utaanza mwezi ujao.

Snura: Mimi ni Malkia Wa uswazi

Mwanamuziki na Muigiazajia Snura amejipa cheo cha malkia wa Uswazi kwa madai  kwamba amekulia maisha ya Uswahilini, hata nyimbo anazo imba zina maudhui na mazingira ya Uswahilini, hivyo ni sahihi kujiita jina hilo.

"Mimi ni Malkia wa Uswazi, kwanza nmekulia huko, nimekaa huko, na hadi sasa nakaa huko na nyimbo zangu ni za uswazi, hivyo sioni kama kuna shida nikijiita Malkia wa Uswazi" -Alisema Snura.

Snura alisema hayo kwenye kipindi cha eNewz na kufafanua kuwa hajali kwamba ataelewekaje,  kwa madai kwamba hata mashabiki  wanamuita kwa jina hilo na Pia ndiye Malikia wa Kisingeli kutokana na Muziki anao fanya.
Nyota huyo alisema hata kama yupo mwanamuziki mwenzake Shaa, ambae kwanzia hapo awali alikua akijiita jina hilo na kudai kwamba watu tuu wenyewe wanajua tu nani Malkia wa Uswazi.

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...