Mwanamuziki wa kike anayesumbua ndani na nje ya Bongo, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema ana ndoto kubwa.
Ndoto yake siku moja, kuwa msanii kutoka Tanzania atakayeshinda tuzo
za heshima, Grammy.Anaamini kuwa, mwanzo wa kukaribia kuiishi ndoto hiyo
umewadia.
Vee Money ni mmoja wa wasanii wa Afrika, waliochaguliwa kurekodi
wimbo na mshindi wa Grammy na nyota wa RnB nchini Marekani, Trey Songz.
Shukrani kwa kipindi cha Coke Studio Africa (International Week) msimu wa 4, kinachomdondosha staa huyo.
Akiwa pia anawania tuzo ya Loeries za Afrika Kusini kwa kazi yake ya video bora, Niroge.
“Katika harakati zangu za kutafuta ushindi wa Grammy katika career
yangu ya muziki, inanipa nguvu kufanya kazi kwa ukaribu na Trey Songz,
ambaye alishawahi kushinda tuzo hiyo.” amesema Vanessa.
Msimu mpya wa Coke Studio utaanza mwezi ujao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...
No comments:
Post a Comment