Mahali pekee utakapopata habari za Burudani,Michezo,Urembo udaku na Kuelimika
20 September, 2016
Kilimanjaro Queens yatwaa ubingwa wa CECAFA 2016
Timu ya Taifa ya Wanawake ‘Kilimanjaro Queens’ yaifunga Harambe
Starlets ya Kenya 2-1 na kutwaa Kombe la Chalenji la CECAFA 2016 huko
Jinja, Uganda leo jioni. Magoli ya Tanzania yamefungwa na Mwahamisi Omar dk 28, 45, Kenya limefungwa na Christina Nafula. Tanzania walifika fainali baada ya kuwalaza wenyeji Uganda 4-1 mechi ya nusu fainali.
No comments:
Post a Comment