Mkufunzi wa klabu ya Manchester
United Jose Mourinho anasema kuwa wachezaji wake wanafaa kujizatiti
wakati maamuzi yanapofanywa dhidi yao baada ya kushindwa 3-1 na Watford
,na hivyobasi kupoteza mara tatu mfululizo katika kipindi cha siku nane.
Amesema kwa sasa wanaangazia makosa ya kibinafsi pamoja na yale ya timu yote kwa jumla.
''Bao la pili lilikuwa makosa ya kibinafsi ,lakini hilo tunaweza kulitatua'',Mourinho.
No comments:
Post a Comment