

Baada ya shindano la Miss Universe lililofanyika Jumapili iliyopita (Dec 20) kukumbwa na dosari ya MC kukosea kumtaja mshindi, Miss Colombia ambaye alitangazwa mshindi na dakika chache baadaye kupigwa na butwaa baada ya MC Steve Harvey kurudi na kutangaza kuwa alipewa ushindi kimakosa, hatimaye mrembo huyo ametoa ya moyoni na kumpongeza mshindi wa mwaka huu Miss Ufilipino.
Kupitia Instagram yake Miss Colombia , Ariadna Gutierrez aliandika ujumbe mrefu wa kugusa kuhusu kilichotokea, akieleza kuwa sasa moyo wake umetulia na maisha lazima yaendelee. Pia akagusia kwamba huko mbele ya safari itakuja kufahamika kwanini mambo yalitokea vile yalivyotokea, na akamaliza kwa kuwapongeza Wafilipino kwa kupata Miss Universe mpya Pia Alonzo Wurtzbach .
Huu ndio ujumbe wake: "After the storm comes the calm. I want to thank each and everyone of you who have sent messages of support and strength. Every one of you has become an incredible human being in my book and I am the most fortunate and thankful for having the support not only from one country but from the whole entire world. Your destiny is written for you. And my destiny was this. I was able to bring happiness to my country after becoming Miss Universe for only a couple of minutes... Today because of that COLOMBIA and the LATIN COMMUNITY are being talked about in every corner of the world. I also want to congratulate the Philippines for their new Miss Universe ����. The happiness that you must be feeling must be incredible. Life continues and in the future we will find out why things happen the way they happen. Thank you all for your LOVE SUPPORT and KINDNESS. ❤️"
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linawashikilia watu wanne wakiwemo mke wa
marehemu dereva na mtunza bustani kwa tuhuma za mauaji ya aliekuwa mkuu
wa kitengo cha ulinzi na usalama wa shirika la hifadhi za Tanapa Emili
Kisamo aliyeuwawa kwa kukatwa shingo na kutelekezwa ndani ya gari lake
Nissan Mazda No T 435 CSY eneo la Lemala jijini Arusha tarehe kumi na
nane ya mwezi huu.
Mahakama ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga imemhukumu mwalimu wa
Shule ya Msingi Nonwe, Raphael Matima kifungo cha miaka mitano jela kwa
kosa la kuomba na kupokea rushwa ya Sh600,000 ili afiche wanafunzi
watoro.
OK. Maybe I am missing something here but Diddy kampatia raper French Montana kiasi cha dola milioni moja kwa ajili ya Christmas? Diddy is the boss of bosses. I am just trying to figure this out. Now look at the picture. 























