Mwimbaji mwenye mauzo makubwa zaidi kwenye muziki wa pop kwa sasa
duniani Adele amefanyiwa mahojiano na jarida la Time na kuweka wazi kuwa
alikuwa na mpongo mkubwa wa kufanya kazi na Beyonce kwenye album yake
mpya ya 25.
Adele anasema aliongea na watu wa Beyonce na walipanaga kuendelea
maongezi ila haikukamilika na album ilibidi itoke. Adele pia amekata
kusema nani alifanya mpaka collabo hio ishindikane ila amesema bado
mipango ipo.
No comments:
Post a Comment