This is a second time tuna wa feature
Diamond na Zari they love to dress up na kupiga zile picha za pamoja
.Wakiwa ni kati ya celeb couple inapondwa sana Africa Mashariki.
Wote wakiwa Uganda juzi kati walitinga ki tofauti kidogo Diamond na kanzu yake na kilemba kwa ndani akatupia Jeans
Wakati zari akitinga zake Dera jekundu na Kilemba hii picha ya kilemba na Miwani imemtoa very stylish
spotted na sandals zao
Second
look ni ile wakiwa wanashoot video ya utanipenda love how zari alivaa
the Fur coat and her shoe game was on point ,Diamond ina all black and
hints of white
lets call this a Dinner date look ,Dai in a black Tuxedo and Zari akitinga a black dress with Gold
In All white na hii kwenye ile video ya Utanipenda,
Black outfit and pop of silver and
white,Zari in a cut out black dress with silve shoes ,mmh the shoe
though,Daimond in all black but akamilizia na Adidas sneakers zenye
Silver na nyeupe.
Which look is ur favourite???wapi walitokelezea zaidi????
No comments:
Post a Comment