Mshindi wa tuzo ya Grammy
mwanamuziki Cornell Haynes ama kwa jina maarufu Nelly amekamatwa na
shtaka la mihadarati baada ya polisi kusimamisha basi alilokuwa
akisafiria mjini Tennessee nchini Marekani.
Alikamatwa kwa kuwa basi hilo halikuwa na vibandiko halali kabla ya kuchunguzwa kutokana na harufu ya bangi iliokuwa ikinuka.12 April, 2015
Justin Bieber akamatwe
Jaji mmoja nchini Argentina ametoa
agizo la kukamatwa kwa mwanamuziki Justin Bieber siku ya ijumaa akisema
kuwa mwimbaji huyo alikataa kufika mbele yake kuhusiana na madai kwamba
aliwaagiza walinzi wake kumshambulia mpiga picha mmoja mwaka 2013.
BAADA YA CHELSEA KUSHINDA MSIMAMO UKO HIVI
Bao la dakika za usiku la Cesc
Fabregas limeiwezesha Chelsea kuvuna pointi tatu katika mechi ya ligi
kuu soka nchini England ugenini dhidi ya Queens Park Rangers (QPR).
Fabregas alifunga goli hilo pekee dakika ya 88′ katika mechi iliyopigwa jioni ya leo uwanja wa Loftus Road.
Ushindi huo umewafanya.....
Man United yaifunga Mancity 4-1
Manchester United ilipanda tena
katika nafasi ya tatu katika jedwali la ligi ya Uingereza ikiwa pointi
moja nyuma ya Arsenal baada ya kuwacharaza mahasimu wao wa jadi
Manchester City mabao 4-2.
Sergio Aguerro alikuwa wa kwanza kuiweka City kifua mbele lakini vijana wa Old Trafford walisawazisha kupitia Ashley Young .Vikosi vinavyotarajiwa kuanza leo kwenye ‘Dabi’ ya Manchester
MECHI TATU ZA MANUEL PELLEGRINI 3 v MANCHESTER UNITED 0
Kocha
wa Manchester City, Manuel Pellegrini ana rekodi ya ushindi ya
asilimia 100 katika mechi zote 3 alizokutana na Manchester United tangu
arithi mikoba Roberto Mancini.
Manchester City 4-1 Manchester United, Septemba 2013
Sergio
Aguero alifunga magoli mawili katika ushindi wa kwanza wa Pellegrini
katika mechi ya watani hao wa jadi, wakati kocha mwingine aliyekuwa
anaiongoza kwa mara ya kwanza United kwenye mechi ya mahasimu, David
Moyes alishuhudia Man United ikisambaratishwa.
Manchester United 0-3 Manchester City, Machi 2014
Edin
Dzeko alifunga baada ya sekundu 45 tu Old Trafford na baadaye aliongeza
la pili na kuifanya City imalize msimu kwa kuichapa Man United mara
mbili.
Pellegrini labda anaweza kufikiria kumuanzisha leo Mbosnia huyo.
Manchester City 1-0 Manchester Utd 0, Novemba 2014
Kocha mpya Manchester United matokeo yale yale. Aguero alifunga goli pekee la ushindi
MAGAZETINI APRIL 12 JUMA PILI
Kuanzia Julai mwaka huu Watanzania
wataanza kupata umeme wa uhakika na usiyo kuwa na gharama baada ya
kuanza kazi kwa mtambo wa kuzalisha umeme wa gesi, utakaoingiza kwenye
gridi ya Taifa megawati 150.
Justin Timberlake na Jessica Biel
Subscribe to:
Posts (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
Mpenzi msomaji wa safu hii ni siku nyingine tunakutana katika kujuzana,kukumbushana, na kuelimishana mila na desturi za makabila mbalimbal...
-
This is a song sang by a very gifted woman Adele, I sang it to show world that everyone appreciate and love to enjoy good music! Asa...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...