Mtangazaji wa Clouds Radio, Diva Loveness Malinzi alikuwa na Salama kwenye show ya Mkasi TV ambapo alizungumza mengi sana kuhusiana na msiha yake ikiwa nipamoja na maisha yake ya kimapenzi, Bifu lake na mwanamuziki Nasib Abdul aka Diamond Platnumz kisa akihisi kikisababishwa na mwanamuziki Alikiba.
Tizama video hii!
No comments:
Post a Comment