19 August, 2015

video mpya ya Young Thug “Again” Ft Gucci Mane

young thug23Young Thug ametoa video ya wimbo mpya “Again” aliyofanya na Gucci Mane. Rapa Gucci Mane bado yupo jela na ametangaza ujio wa filamu yake The Spot on Oct. 17.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...