31 December, 2015

Kazi mpya ya Kid Ink Ft Fetty Wap ‘Promise’ iko hapa.

ftRapa Kid Ink ametoa wimbo mpya aliomshirikisha rapa Fetty Wap. Kazi hii inatoka kwenye album ya kushtukiza ya kid Ink iliyopewa jina ‘Summer In The Winter’.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...