Baada ya video yao ya ‘Nerea’ kufanya vizuri nje na ndani ya Afrika Mashariki, Sauti Sol wametoa video mpya ya wimbo wao mpya ‘Shake Yo Bam Bam’.
Video imefanyika jijini Nairobi na Director kutoka Nigeria Clerence Peters
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
No comments:
Post a Comment