08 December, 2015

Video mpya ya Jadakiss Ft Neyo Na Nipsey Hussle ‘Aint Nothin New’.

jadaJadakiss anarudi kwa fujo kwenye muziki na video yake mpya ya “Ain’t Nothin New” akiwa na Ne-Yo na Nipsey Hussle. Wimbo “Ain’t Nothing New” upo kwenye album mpya ya Top 5 Dead Or Alive ambayo ipo dukani sasa.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...