19 August, 2015

Tyga ameongoza video yake mwenyewe,itazame hapa ‘Bu$$in Out Da Bag’.

tyga-bussin-bagHii video mpya ya rapa Tyga ‘Bu$$in Out Da Bag’ kutoka kwenye mixtape yake mpya Fuk What They Talkin Bout . Hii video imeongozwa na Tyga mwenyewe.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...