
Yamoto Band wakishikirikiana na Mwanadada mwenye sauti nyororo Hit maker wa "Na Yule" wanatuletea ngoma mpya kabisa inayokwenda kwa Jina la Suu. Ngoma imefanyia production na Producer anye julikana kwa jina ka Producer Shirko.
Bofya HAPA kuupata wimbo huo. Kumbuka kushare na wana kitaa.
SIKILIZA HAPA.
No comments:
Post a Comment