Ni ngoma Nyingine kutoka kwa msanii Peter Msechu ambae anazsidi kufanya poa katika game la Bongo Flava tangu akiwa BSS mpaka leo hii. Katika ngoma Hii yupo Mkongwe Banana Zoro na kwa pamoja wanatuletea ngoma inayokwenda kwa jina la Mama.
Bofya HAPA kuupata wimbo huo. Kumbuka kuwashirikisha wana Kitaa.
SIKILIZA
No comments:
Post a Comment