23 March, 2016

Fanya vitu vifuatavyo ili siku yako kuenda vizuri.

Image result for things to do so as to make my day better
Ni kweli kuna wakati mwingine unaamka kitandani na unajikuta katika hali tofauti, mara unajikuta katika hali ya Kutotaka kumuona mtu yeyote machoni pako, hujisikii kufanya kitu chochote ama mara nyingine unaamka ukiwa na hofu ambayo hujui inatokana na nini yaani basi tuu na hii labda inatokana na Mambo uliyoyafanya Jana ama imetokea tuu bila kujua chanzo ni nini.
Ili kuondokana na hali hizo, nmekuandikia vitu vichache vya kufanya ili kuwezesha wewe kuondokana na hali hizo na kuifanya siku yako kwenda Murua bila matatizo yeyote.

1.Fikiri mambo chanya kabla yakulala(Think Positive Thoughts Before You Sleep ).
Ubora wa usingizi wako unaweza kuaffect mood yako kwa siku ifuatayo. Hivyo wakati wa kulala jaribu kufikiri mambo mazuri na sio yale mabaya uliokutana nayo mchana kutwa wakati wa mihangaiko yako. Jaribu kujitengenezea mazingira ambayo Ubongo wako na mwili wako kwa ujumla kupumzika kwa ajili ya
siku inayofuata.
2. Ibariki siku yako (Tell yourself That Today is a Better Day)
3. Wahi kuamka.
4.Fanya mazoezi na kisha usafi wa mwili
5.Breakfast ni Muhimu
6.Pangilia  shughuli zako
7.Kumbuka marafiki au mtu umempendae kwa kumpigia simu
8.Tabasamu. 

Mtokambali

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...