Andika Nasi

Habari!
    Aksante kwa kutembelea ukurasa huu. Yawezekana unafikiri kua umepotea ila hapana Uko kwenye mstari sahihi kabisa na kufika kwako hapa haujabahatisha.
MTOKAMBALI inakupatia fursa yakuwa mwandishi wao;
Kama ulikua hufaham MTOKAMBALI ni blog ambayo inahusiana na JAMII pamoja BURUDANI pamoja na MICHEZO, soma zaidi kuhusiana nasi http://mawerenews.blogspot.com/p/blog-page_24.html pia BLOG hii inahusika moja kwa moja na Blog zifuatazo:-

RESTIE255:
Blog hii inahusiana na Fashion pamoja na mapenzi japo kwa uchache ila kwa sana ni kwa ajili ya Fashion na Urembo. Kwa sasa ina muda mwingi pasipokua na new updates na hii inatokana na kuendeshwa na mtu mmoja tuu na mwandishi huyo kwa sasa yupo masomoni hivyo basi Unaweza kuitumia fursa hii kama wewe ni mpenzi wa Fashion na Urembo. tembelea http://restie255.blogspot.com

MAISHA NA AFYA:
Blog hii inahusiana na Maisha kwa ujumla wake na pia Bila kusahau Afya. Kwa sasa blog hii inasimamiwa na Ndugu Francis Mawere(MTOKAMBALI) Pamoja na Roman Olomy(NJIBA HOOD), ila nako kunahitajika Msaada wako, hivyo kama umevutiwa ama uko teyari kutumia kalamu yako vizuri juu ya Maisha kwa ujumla wake pamoja na Afya tafadhali changamkia Fursa hii. tembelea http://njibahood.blogspot.com

 SPORTS FINDER:
Hii ni kwa ajili ya michezo tuuu, hivyo kama wewe ni mpenzi wa Michezo hapa ndipo unapoweza kuweka vitu vyako. http://www.sportsfinderonline.blogspot.com

Vigezo na Mashariti
Vigezo ni Katika Blog za   SPORTS FINDER pamoja na RESTIE255 ambazo hapa Lugha itakayotumiwa ni Kiingereza hivyo hakutakua na nafasi kwa lugha nyingine zaidi ya hiyo.Lakini  bado unaweza kuwa mwandishi wa blog hizo kwa lugha ya Kiswahili amabapo hapo dawati letu ya Uhariri litaitafsiri Hapari hiyo kwa Kiingereza.

1.Blog zote hizo tajwa hapo juu hazihusiani vitu ambavyo sio stahiki kuwepo mfano picha za ngono, pombe ama udaku usio na maana. Hivyo basi usitegemee kupata nafasi yeyote ikiwa uko teyari katika hilo.

2.Blog zetu hazitaruhusu habari ambazo ni Copy and Paste. Ikiwa umebainika basi mara moja tutakuondoa katika list ya waandish wetu.

3: Kutangaza Blog zetu ukiwa kama mwandishi wetu ni muhimu. Hii itahusisha social network zetu pamoja na zako pia ikibidi.

Malipo
Blog zetu zote tatu zinahitaji waandishi wengi  kadri iwezekanavyo na Unaweza kutuandikia kwa moja moja ama kutuandikia post kadhaa kisha unalipwa.

Ikiwa kama post yako itakubaliwa kuwekwa katika blog zetu basi Utalipwa kuanzia Tsh 5000 ikiwa hicho ndicho kiwango cha chini kinachotolewa nasi. Hivyo kama utaweza kuandika Machipisho mengi kadri uwezavyo ndipo uakavyozidi kujipatia Fedha nyingi.
Kiwango cha juu kabisa Kwa kila chapisho ni Tsh 10,000.

Malipo yote hufanyika baada tuu ya machapisho yako kuonekana katika blog zetu. Na utalipwa kupitia Huduma ya M-pesa, Airtel money, Tigo-pesa.

Kwa wale wanaohitaji kuwa waandishi wetu wa moja kwa moja watalazimika kupiga simu namba 0767322193 kwa maongezi zaidi ama tuma barua pepe kwenda mtokambali2015@gmail.com. Na malipo yako Yatakua yakifanyika kila Mwisho wa Mwezi,

Mawasiliano
Tuko Moshi Mjini kwa sasa hatuna office maalumu ila Tuanashuhulikia swala   hilo
Tupigie simu namba zifuatazo;
0767322193
0713429633
Email; mtokambali2015@gmail.com

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...