25 February, 2016

Mambo yalivyokua Brit Awards 2016

Brit Awads 2016 zimefanyika huko London ambapo mwanamuziki Adele ameondoka na tuzo nyingi zaidi katika nomination alizo kuwepo. Hizi hapa ni picha za red carpet yake.

Jionee mambo yalivyokua

Vazi la mwanamitindo wa Afrika lavaliwa na mcheza densi wa Beyonce


Mwanamtindo wa Ivory Coast ,Loza Maleombho amejipatia sifa baada ya mtindo wake mmoja kuonekana kwenye kanda mpya ya video ya mwanamuziki nyota wa Marekani Beyonce.
Vazi hilo limevaliwa na mwanadensi katika video hiyo ya mwanamuziki huyo Marekani.
Bi. Maleombho alianza kazi yake ya mitindo huko mjini New York, lakini baadaye akahamia Ivory Coast.
Mitindo yake imeenea nchini Nigeria , Uingereza na Marekani.

UEFA:Man City yaichapa Dynamo Kiev 3-1


Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya imeendelea tena usiku wa Jumatano kwa michezo miwili , Ambapo Klabu ya soka ya Manchester city imefanikiwa kuchomoza na ushindi mnono wa magoli 3-1 dhidi ya Dynamo Kiev .
Magoli ya Manchester city katika mchezo huo yamefungwa na wachezaji Sergio Aguero dk15 , David Silva dk 40, huku bao la tatu likifungwa na Yahya Touré dk 90.
Kwa upande wa Dynamo Kiev bao lao la kufutia machozi limefungwa na Vital Buyal-sky dk 58
Katika mchezo mwingine Psv Eindhovein wakiwa nyumbani wametoshana nguvu na Atletico Madrid kufuatia sare tasa ya bila kufungana.
Michuano hiyo itaendelea tena March 8, 2016 kwa mechi mbili ambapo Real Madrid itaikaribisha Fc Roma na VfL Wolf- Sburg ikichuana na KAA Gent.

Magazeti ya Leo Alhamisi Februari 25

Ebola ina madhara ya muda mrefu


Kikundi cha watafiti wa wahanga wa ugonjwa wa Ebola nchini Liberia wamebaini kuwa wengi kati yao walisumbuliwa na tatizo la akili baada ya kuathirika na virusi vya Ebola.
Watafiti kutoka serikali ya marekani wanatafiti juu ya athari za muda mrefu ambazo wamezimeangalia kwa watu 82 waliopona ugonjwa wa Ebola na kubaini kuwa mbili ya tatu wamesumbuka na tatizo la kudhoofika,kuumwa kichwa,kupoteza kumbukumbu na kuwa dalili za kuwa na huzuni.

24 February, 2016

Jay Z & Beyoncé wanatazamiwa kufanya HICHI

Jay Z, Beyonce, Hov, Bey, Queen B, Bey Katika kipindi chote cha kazi zao, wawili hao wamefanikisha mengi. The The Grammy-laced, wanandoa hao wabunifu hivi karibuni wanaweza panda tena. Kulingana na  Hits Daily Double wazazi hawa watakua wakifanyia kazi mzigo mpya ama kitu kipya kikubwa.
 Queen B alidai umakini  katika nusu ya performance ya Super Bowl 50. Within hours of that performance she completely sold out her Formation stadium tour. Kuna tetesi kwamba  ndio kwaanza anaanza.
In April, the Houston native is scheduled to drop her final contractual release for Sony Music. Having fulfilled her obligations, B is reportedly set to negotiate a “new worldwide, multi-album deal” with her label. Understanding and appreciating their entrenched integrity, it has been suggested that this year the power couple will drop their first “joint project.”

NYC Unites: French Montana Gets A$AP Rocky For “Off The Rip (Remix)”

French Montana, A$AP RockyThese are arguably two of the most poppin acts in NYC right now. And despite the fact that Rocky and French probably spend most of their time on the road or in LA, this is a big song for NYC. Lets see where this one goes!

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...