Mwanamtindo wa Ivory Coast ,Loza
Maleombho amejipatia sifa baada ya mtindo wake mmoja kuonekana kwenye
kanda mpya ya video ya mwanamuziki nyota wa Marekani Beyonce.
Vazi hilo limevaliwa na mwanadensi katika video hiyo ya mwanamuziki huyo Marekani.Bi. Maleombho alianza kazi yake ya mitindo huko mjini New York, lakini baadaye akahamia Ivory Coast.
Mitindo yake imeenea nchini Nigeria , Uingereza na Marekani.
No comments:
Post a Comment