23 May, 2015

Categories zote za MTV Africa Music Awards 2015

mamaTuzo baada ya Tuzo..  Hii sasa ni MTV Africa Music Awards 2015 zinarudi tena kwa msimu wa tano.
Tujiandae kuwaona mastaa kwenye Red carpet South Africa ambako Tuzo za MTV zitakuwa zinatolewa pale Durban International Convention Centre July 2015.

22 May, 2015

Video nyingine ‘Its In You’ kutoka kwa Yemi Alade

alaaa
Yemi Alade, ni kati ya mastaa waliochaguliwa kuwania tuzo za BET mwaka huu zitakazofanyika Juni 30.
Kabla ya kushiriki tuzo hizo Yemi Alade ameamua kuachia video yake mpya inayoitwa ‘Its In You’ kwa ajili ya kusherehekea miaka 60 ya Peak Talent show.

TUMTARAJIE RAFA BENITEZ KUWA KOCHA WA R.MADRID

benitez
Manage wa klabu ya Napoli Rafael Benitez anategemewa kuwa bosi mpya wa klabu ya Real Madrid kwa mujibu wa bbc sports. Bosi wa Real Madrid wa sasa Carlo Ancelotti anategemewa kumaliza muda wake baada ya mechi yake dhidi ya Getafe. Mkataba wa

Ni video mpya ya Hussein Machozi ‘Ulikuwa Wapi’.

husseinHii video mpya ya Hussein Machozi ‘Ulikuwa Wapi’ imetayarishwa na Kwetu Studios. Bonyeza PLAY kuitazama hapa hapa MTOKA MBALI>>>>

21 May, 2015

SKILIZA HAPA INTERVIEW YA DIAMOND ALIPOKUWA BBC, NGELI KWA SANA.

Image result for DIAMOND PLATNUMZmsikilize hapa mwenyewe utaipenda

wakati Raia wakidundana Mitaani, RAISI NKURUNZINZA anakipiga uwanjani kwa raha zake.

nziza2Burundi kwa sasa iko kwenye vichwa cingi vya habari kutokana na hali ya machafuko ambayo ilijitokeza baada ya Rais Pierre Nkurunziza atangaze uamuzi wa kuwania Urais kwa awamu ya tatu mfululizo.

ABDU KIBA NAE KAONA SIO VYEMA KUMUACHA MTOTO RUBY HIVI HIVI WAMETULETEA WIMBO WAO TUUSIKILIZE

RUBY
Abdu Kiba safari hii ameamua kumshirikisha kinda anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Ruby katika nyimbo yake mpya ya ‘Ayayaa’. Kutokana na sauti yake nzuri Ruby ameshiriki vyema kweye Single hii.  Nakukaribisha kuisikiliza hapa.>>>

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...