19 August, 2016

Music: Download AT & Peter Msechu - Msengenyo

Hapa Ali Tall na pale ni Peter msechu kwa pamoja wanatuletea ngoma yao mpya inayokwenda kwa jila la Msengenyo, ni michambo kati ya Vimbao mbao na wale Vibonge( Wakina Msechu), ushawahi kuona wanaume wakichambana? wewe download ngoma hiyo hapo chini kisha share na wana kitaa kadiri uwezavyo.

Bofya DOWNLOAD hapo chini kuupakua wimbo huo Msengenyo

Kanye Sets Debut Date For Yeezy Season Four

Kanye West

KANYE WEST’s latest fashion creations will hit the catwalk on the opening day of next month’s (Sep16) New York Fashion Week.
A day after the rapper and designer’s Saint Pablo tour stops off at Madison Square Garden, where he hosted the splashy debut of his Yeezy brand’s third season in February (16), West will help launch Fashion Week alongside a Tom Ford presentation and the opening of Cartier’s Fifth Avenue mansion.
Kanye will be hoping for less controversy than that which greeted the debut of Yeezy 3 after he made a last-minute decision to schedule its debut at the same time as other top designers’ events.
Though his decision ruffled feathers, the controversy didn’t seem to affect reviews or sales. West has released no details about the upcoming collection, bar a tweet released even before the debut of season three, in which he announced he was working on a kids’ line.
His three-year-old daughter North West has already sported several custom Yeezy pieces and it appears she would be an obvious muse for dad.
West signed a deal with Adidas earlier this year (Jun16), which will result in a line of Yeezy retail outlets hawking shoes, apparel and accessories, but it’s uncertain whether the sports giant will be producing this next collection.
Fashion fans can expect an event when Kanye unveils his latest creations – at the Madison Square Garden launch in February, his wife Kim Kardashian and members of her family turned out to cheer him on, all wearing items from the new line. The rapper also debuted his new album, The Life of Pablo, at that event. (CM-LO/WNWCWDW/KL)

Mwanariadha Mjamaica Usain Bolt ameshinda mbio za mita 200 katika michuano ya Olympics

Usain Bolt

Mwanariadha Mjamaica Usain Bolt ameshinda mbio za mita 200 katika michuano ya Olympics huko Rio nchini Brazil na kujinyakulia medali ya dhahabu ya pili baada ya kunyakua ya michuano ya mbio za mita 100.

Ameshinda kwa kirahisi mbio hizo za mita 200 kwa kutumia sekunde 19.79. Bolt kwa sasa anahitaji kushinda mbio za mita 4x 100 za kupokezana vijiti ili kukamilisha medali ya tatu ya dhahabu kama alivyofanya katika michuano iliyopita.
Mapema wiki hii alidhihirisha kuwa ni mwamba wa mbio fupi pale aliposhinda mbio za mita 100 na kunyakuwa medali ya dhahabu.Usain Bolt
Katika matokeo mengine Marekani imenyakulia medali nyingine nne za dhahabu ikiwemo ya mwanariadha wake Ashton Eaton.

17 August, 2016

Downwload new Music: Darasa- Kill me

Mwanamuziki Darasa amezidi kuachia ngoma baada ya ngoma, na hivi punde tuu ngoma yake ya Too much bado inazidi kubamba ila kaachia tena ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Kill me. Duh! Darasa  bhana! pakua nyimbo hiyo hapo chini kisha washirikishe wana kitaaa kwa kadiri uwezavyo.

Bofya Downlod hapo chini kuupakua wimbo huo.

Tizama Official video ya Jimmy Chansa - Tamtafuta

Jimmy Chansa ni moja kati ya wasanii wa Muziki wa kizazi kipya ambao wanafanya vyema kwa sasa. Tamtafuta ni ngoma ambayo aliiachia siku chache tuu zilizo pita, na hii ndio video mpya ya ngoma hiyo. Itazame hapo chini kisha kumbuka kushare na wana kitaaa.

Cash Money yakamilisha mkataba wake na Apple Music

Drake and Birdman Cash Money wamesaini mkataba mpya wa kwanza kwa mwaka huu na kampuni ya Apple Music. Kampuni ya Apple Music mwamzoni mwanzoni ilikua ikionekana kusimamia kazi za msanii mmoja mmoja ila kwa sasa wamejiongeza nakuanza kusimamia kazi za lebo tofauti tofauti.
Taarifa hizi zimeonekana katika a/c ya Instagram yake Kiongozi wa Kundi la Cash Money Birdman.

Rapper Meek Mill kuachia Mixtape yake mpya Mwezi ujao.

Meek Mill Yawezekana hii ikawa ni taarifa nzuri kwa mashabiki wa rapper huyu kutoka pande za Marekani, kwamba Meek Mill amepanga kuachia mixtape yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘DC4’. Ikumbukwe kwamba ni mwezi uliopita tuu Producer wa project hiyo Jahlil Beats alinukuliwa akisema kwamba mzigo huo umekamilika hivyo muda wowote utashushwa ila mpaka sasa bado wadau wana kiu yakungoja mzigo huo.

Taarifa hizi zimeonekana katika mtandao wa Periscope ambapo member mmoja wa Dreamchasers Chino. Alinukuliwa akisema kwamba Mixtape hiyo itadrop soon mwezi ujao. Hapa hivyo Mwenyewe Meek Mill alitoa alert kwa istagram a/c yake kama inavyo-onekana hapo chini.
A video posted by MeekMill NewsπŸ”₯πŸ—ž (@meekmillnews) on

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...