06 April, 2015

05 April, 2015

MVUA YAVUNJA MTANANGE KATI YA MTIBWA NA STAND UNITED

mtbtanange wa ligi kuu ya Vodacom  Tanzania bara kati ya wenyeji Stand Unitd pamoja na Mtibwa Sugar uliokuwa unaendelea kwenye Uwanja wa CCM Kambarage, Mjini Shinyanga, Umeshindwa kuendelea kufatia  mvua kubwa inayonyesha muda huu mkoani humo.
Hadi dakika ya 33 ya mchezo huo, mwamuzi wa mtanange huo anapuliza kipyenga kiashilio kuwa mchezo hautaendelea, Wenyeji Stand United walikuwa wakiongoza kwa bao 1-0, ambapo Goli hilo lilifungwa na Haruna Chanongo kunako dakika ya 12.
Mbali na mchezo huo wa leo kuvunjika, Pia jana Mtanange kati ya Simba na Kagera Sugar ulishindwa kuchezeka baada ya Uwanja huo kujaa maji katika maeneo muhimu ya Uwanja kama Laangoni na sehemu nyingine.
Kufatia uamuzi huo sasa timu hizo zitakutana kesho jumatatu endapo hari ya hewa itaruhusu.
IMG_20150405_091832

Randy Orton vs. Big SmackDown, April 2, 2015

MAGAZETINI LEO JUMAPILI>>>>>

 Image result for sunday
NIPASHE
Askofu Gwajima anatakiwa kuripoti muda wowote kuanzia leo katika Hospitali ya TMJ kwa uchunguzi zaidi baada ya kuisha kwa muda ambao alipewa kwa ajili ya kupumzika.
Tulimpa muda wa wiki moja, hadi sasa muda umekwisha, hivyo wakati wowote anatakiwa kuripoti Hospitalini ili kuangaliwa maendeleo ya hali yake na kama haijaimarika, tutamchunguza zaidi”—Dk. Fortunatus Mazigo, daktari ambaye anamtibu Askofu huyo.
Daktari huyo amesema hawezi kuuzungumzia ugonjwa ambao anaumwa Askofu huyo kutokana na maadili ya kazi yake, ila akipata ruhusa kutoka kwa mhusika mwenyewe atafanya hivyo.
MTANZANIA
Ndoa ya Dk. Mengi ana Jacquiline Ntuyabaliwe ambayo ilifungwa kwa siri Mauritius ana kuhudhuriwa na marafiki wachache takribani 50 imezua gumzo.
Safari ya wawili hao kuelekea uchumba ilianza Desemba mwaka 2014 ambapo walivalishana pete za uchumba katika sherehe za kumbukumbu ya kuazaliwa ya Jacquiline iliyofanyika Dubai.
Rafiki wa karibu na Jacquiline, Nancy Sumari aliweka picha katika ukurasa wake wa Instagram ikimuonesha Jacquiline akirusha juu maua pamoja na rafiki zake akiwemo Faraja Kota, Nasreen Kareem na Sophia Byanaku.
Mengi na Jacquiline tayari wana watoto mapacha ambao nao pia walihudhuria ndoa ya wazazi wao.

MWANANCHI
Familia ya Diwani wa viti Maalum Mkoa wa Geita, Helena Mahona imevamiwa na kushambuliwa na nyuki ambao wamejeruhi mama mmoja na watoto wawili na kusababisha kifo cha mtu mmoja ambaye ni shangazi wa Diwani huyo.
Ofisa Mtendaji wa Kijiji hicho, Joseph Majebele amesema alikuwa mbali na eneo hilo lakini akapewa taarifa ya kutokea kwa tukio hilo kwa njia ya simu na watu walioshuhudia.
Kamanda wa Polisi Geita, Peter Kakamba amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa marehemu alifariki hapo hapo kwenye tukio huku majeruhi wakikimbizwa Hospitai na hali zao zinaendelea vizuri.

NENO LA SIKU.......

.Image result for Robert mugabe quotes
The only white man you can trust is a dead white man.

matokeo ya Borussia Dortmund vs Bayern Munich hapa


Wikiendi mbili zilizopita tulishuhudia vilabu mahasimu wa ligi za England Manchester UTD vs Liverpool na FC Barcelona va Real Madrid wakiumana – jana ilikuwa zamu ya Bundesliga – ambapo Borussia Dortmund waliwakaribisha wapinzani wao Bayern Munich katika dimba la Siguna Iduna Park.
Mchezo huo uliomalizika muda mfupi uliopita umeshuhudia Bayern wakipata ushindi mgumu wa goli 1-0 dhidi ya vijana wa Jurgen Klopp.
Robert Lewandoski mchezaji wa zamani wa Dortmund ndio aliyepeleka kilio kwa mashabiki wa timu yake ya zamani – baada ya kuunganisha kwa kichwa mpira uliokolewa na kipa wa Dortmund mapema katika kipindi cha kwanza.
Kwa matokeo hayo Bayern Munich wanaendelea kuongoza msimamo wa ligi kuu ya Ujerumani.
                         Matokeo mengine ya Bundesliga
 

Wayne Rooney anamagoli 185 kwenye Premier League,Andy Cole [187], Alan Shearer [260],#Epl Picha/Matokeo ya Man Utd dhidi ya Aston Villa.


epl 12Mshambuliaji wa Man Utd Wayne Rooney anamagoli 185 kwenye Premier League huku akiwakaribia Andy Cole [187] na Alan Shearer [260].
 _82121358_wayne_rooney_82121360_ashley_young_82124885_ander_herrera3_82124939_wayne_rooney2

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...