Manny anarusha zaidi ya ngumi 100 kwenye round moja,Je Flody,Mike Tyson kazungumza hapa.
Aliyekuwa mmiliki wa mkanda wa ngumi wa uzito wa juu [Heavyweight champ
Mike Tyson] amezungumzia pambano la Floyd Mayweather na Manny Pacquiao
hivi karibuni na kusema “ Floyd hawezi
kupigana kwenye pambano hili kama anavyopigana kwenye mengine, lazima
aende mbele na arush ngumi sana ,Manny anarusha zaidi ya ngumi 100
kwenye round moja, Flody pambano lake la mwisho alirusha ngumi 38,
asikubali kuwekwa kwenye kamba dhidi ya Pacquiao ” .
mawerenewz ipo kwa ajili yako nifuatilie twitter, facebook, na instagram
No comments:
Post a Comment