27 July, 2015

NEW: RUBY BAND – MKANYE MWANAO (OFFICIAL MUSIC)

f0a9bd33d8fc8ab39a00cc1942bdb780-260-260Moja kati ya band za hapa Tz ambazo zinafanya vizuri kwenye muziki wa kizazi kipya ni pamoja na ‘Ruby Band‘ sasa hii ni taarifa mpya na njema coz wameachia wimbo mpya amabo unaitwa ‘Mkanye mwanao’ Produced by Ruby records. Hivyo poteza muda wako kuusikiliza wimbo hapa, ukimaliza tunakuomba usibanduke kweny tovuti yetu kwani bado tunaendelea kukujuza zaidi.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...