Tyga anajipanga kutoa mixtape mpya ya Rawwest Ni**a Alive mwezi huu na hii ndio kazi mpya kutoka kwake ya mwaka 2016 “Gone Too Far.”
Kwenye wimbo huu Tyga anaimba kuhusu mpenzi wake (“You my Grammy, all them other hoes nominees”), Oprah Winfrey (“She can get fat like Oprah, as long as she always get back like Oprah”), and the competition (“Rappers ain’t rapped in a minute / Saying broke is a joke / I ain’t laughed in a minute”).
Rawwest Ni**a Alive inatoka January 15 .
No comments:
Post a Comment