01 August, 2015

NEW: MAKOMANDO FT. M- RAP – TANZANIA (OFFICIAL MUSIC)

MAKOmandoKundi moja la wasanii wa muziki hapa Tz maarufu kwa jina la ‘Makomando’ ambao wanafanya vizuri kwenye muziki wa Bongo fleva, kwa sasa wamekuletea ngoma nyingine ambayo wamemshirikisha rapper M-rap inaitwa ‘Tanzania’ imetengezwa katika studio ya Uprise Music chini ya mikono ya Producer ‘Dupy’

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...