06 July, 2015

Nay wa Mitego kaachia hii nyingine ‘Sina Muda’…(Audio)

nay
Baada ya Nay wa Mitego kutoa ngoma yake ya ‘Mapenzi au Pesa’ akimshirikisha Diamond, sasa amerudi tena na single nyingine inayojulikana kwa jina la ‘Sina Muda’. Nimekuwekea hapa uisikilize, umpatie rafi nae aisikilize, DOWLOAD HAPA.>>>>>>>>


 BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...