Mwaka 2015 jina la Barakah Da Prince, mkali wa Bongo Fleva ambae anaiwakilisha Rock City Mwanza limepaa kwa nguvu kubwa sana, hits zake zimegusa kila kona.. Watu wakaweka kura nyingi kwenye KTMA 2015 category ya Msanii Bora Chipukizi, na Tuzo ikaenda kwake pia.
Hajatulia kusubiri mambo yapoe, katoa
ngoma nyingine mpyampya na imenifikia tayari.. Kapewa collabo mrembo
ambaye na yeye ana hit ambayo inafanya poa sana, SuperNyota Diva wa 2014, Ruby.
Barakah Da Prince Feat. Ruby– ‘Nivumilie’, unaweza kuisikiliza hapa mapema kabisa mtu wangu.. ruksa pia kushare na mtu wako wa nguvu isimpite.
Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,
No comments:
Post a Comment