30 July, 2016

Movie: Mel Gibsonin in “Hacksaw Ridge"-Official Trailer


Mwigizaji na muongozaji wa filamu mkongwe duniani Mel Gibson anakuja na filamu mpya ya kijeshi iliyopewa jina “Hacksaw Ridge.”.
Hii ni filamu ya kwanza ya Mel Gibson kuongoza ndani ya miaka 10 na inategemewa kutoka November mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...