29 July, 2016

Video: Nikki Wa Pili Ft. Chin Bees – Sweet MangiKutoka weusi ni Nikki Wa Pili akiwa amempa shavu Chin Bees. Video inakwenda kwa jina la Sweet Mangi, Audio ikiwa imetengenezewa Switch Record/Lufa na Video ikiwa imesimamiwa na Justin Campos. Kumbuka kuwashirikisha wana kitaa.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...