Ni yule yule aliye imba Nivute kwako na Hit nyingi kibao, Mwana dada Dyna nyange safari hii katuletea ngoma yake mpya iitwayo KOMELA akiwa amempa shavu rapper anaye fanya vizuri katika game kwa sasa Billnass. Ngoma imafanyika chini ya producer Mr T Touch.
Unaweza ukabonyeza hap chini kuupakua wimbo huo mpya
No comments:
Post a Comment