AFRIMMA ni tuzo zitolewazo kwa wasanii walio fanya vizuri barani Africa na kwa mwaka huu tuzo hizi zimepangwa kutolewa Tarehe 15 October 2016 huko Dallas Texas Marekani.
Wanaowania tuzo za 2016 tayari wametajwa ambapo miongoni mwao, Watanzania wanaowania ni Dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo, Diamond Platnumz mwenyewe, Alikiba, Yamoto Band, Vanessa Mdee, Linah na Producer Tudd Thomas kama inavyoonekana kwenye hii list hapa chini.
Japokua
hapa wameandika Sauti Sol wamemshirikisha Alikiba, kitu sahihi ni
kwamba wimbo huu ni wao wote na sio Alikiba kushirikishwa, huo wimbo wa
pili wa Akothee ndio Diamond kashirikishwa.
No comments:
Post a Comment