Collaboration ya Iggy Azalea na Drake iko njiani?

Iggy Azalea 
Taarifa(Udaku) zinasema kwamba kuna collabo inakuja kati ya Iggy Azalea na Drake. Kama hayo yatakua ni ya kweli, basi ngoma hiyo itakua ilifanyika kitambo wakati Iggy Azelea akiwa katika kiwango cha juu ila kwa sasa haitowezekana maana kiwango cha Drake kiko juu mno kiasi kwamba nafasi ya kufanya kazi na Iggy itakua ndogo mno.

Any way tuwaache ila nitafurahi kuwaona wakali hawa wakiwa katika joint moja...
One love.......

Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.