Ruby ambaye alianza kutikisa kwenye game la muziki baada ya kutoa ngoma ya Nayule kisha akaja juu hadi leo kila ngoma ambayo anaitoa imekuwa hit ameungana na Allice pamoja na Nandi wakakuletea wimbo wa Mama.PITIA NA HIZI KUTOKA MTOKAMBALI
1.Oliver Mtukudzi picha Halisi ya Muziki wa Kiafrica.
2. UNALIFAHAMU KUNDI LA UB40?.
3. Wafahamu madancer Albir Rojas na Sara Lopez wakali wa 'Kizomba dance
No comments:
Post a Comment