21 October, 2016

New Audio Single sally Ft. Godzila – IWanna Know Mp3 Download

Single sally msanii kutokea pande za Moshi ambaye anafanya poa katika game as an upcoming artist na hii ni Track yake inayokwenda kwa jina la  IWanna Know akiwa kamshirikisha mkali Godzila a.k.a King Zila. Download ngoma hiyo kwa kubofya DOWNLOAD hapo chini.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...