Mtandao wa ladyafrikaana wamewataja Sexiest Men On the East African Screens Sita toka hapa East africa na Tanzania wametajwa watatu.
Wa kwanza ni Idris Sultan ambaye ni
mshindi wa BBA 2014.According to the article Idris has a cute, cheeky
smile that is hard not to like. He is tall, African,
charismatic,handsome and has a melting smile. Yes, he is engaged to Wema
Sepetu, former Miss Tanzania so swallow that pill of envy and let us
move on ,MMh hapa kwenye kuwa engaged sidhani kama wako sahihi
Mwingine ni Ally kiba ambaye sifa zake
wamezitaja kuwa ni tall ,handsome and sexy ,wanasema Ali Kiba ni perfect
package ya kupeleka nyumbani kwa wazazi hapa nmeongezea kwenye wazazi And that smile, can melt your heart in seconds! Don’t over drool ,this one I agree LOL
Baba Tiffah yumo kwenye List ,huyu yeye
asifiwa kwa kuwa na a soothing voice,romantic lyrics and a bad boy
physique wakimaanisha muonekano wake ni matata .Humo wamesema Diamond
kaoa but i guess wako misinformed .
wengine ni hawa toka Kenya .
Kagwe Mungai Huyu ni Mkenya ni producer na songwriter
Savara Mudigi Mwanamuziki toka kundi la Saut Sol
lord have Mercy
Hussein Mohammed huwa anatangaza News kwa Citizen Tv Kenya.Msomali flani hivi huyu.
swali langu ni wewe mdau nani wamuona ndo SEXIEST MAN????
Nchi nyingine hazikufua dafu kwa Tanzania na Kenya
No comments:
Post a Comment