20 February, 2016

Van Gaal: Tulishindwa kwa bahati mbaya


Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal amesema kuwa kushindwa kwa 2-1 kwa timu yake dhidi ya kilabu ya kilabu ya Midtjylland ya Sweden ni bahati mbaya.
Memphis Depay aliwaweka kifua mbele Manchester United katika awamu ya kwanza ya mechi ya ligi ya Europa,lakini Pione Sisto na Paul Onuachu waliipatia ushindi timu yao.
Van Gaal ambaye tayari alikuwa anacheza bila wachezaji 13 wanaougua majeraha,alimpoteza kipa David de Gea wakati wa mazoezi ya kujiandaa kucheza mechi hiyo.
''Ni sheria ya Murphy nadhani,''rais huyo wa Uholanzi aliiambia BT michezo.Vitu vingi vinafanyika katika vichwa vya wachezaji na katika dakika 10 ama 15 za kwanza hatukuwa tukicheza vizuri''.
Van Gaal hatahivyo anahisi timu yake iliimarika wakati wa kuendelea kwa kipindi cha kwanza na ingefunga mabao mengi.
Aliongezea:Katika kipindi cha pili hatukushinda mipira yoyote.hatykuweza kuzuia bao lao la pili lakini hata sisi tungefunga.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...