16 January, 2016

Je nan mkali kati ya Drake na Kendrick? Haya hili ndilo jibu la Rais Obama

obama drake kendrickKulikua na chansi ya Wakali hawa wawili kukutana katika  battle lakini haikuwahi kufanyika. Kwenye  interview ambayo alifanyiwa Barack Obama aliulizwa kuwa nani ataibuka KIDEDEA kati ya wakali hao wawili na Jibu la Haraka alilotoa Barack Obama ni "Kendrick" angeibuka Kinara.
   Interview hiyo ilifanywa na  YouTube star Adande Thorne ambaye alionekana Kushangazwa na Jibu la Rais Obama.
  Itazame video hiyo hapo CHINI

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...