01 July, 2016

Tizama Muonekano mpya wa studio za Wasafi

 Studio za Wasafi zimerudi tena Kazsini baada ya kukaa kando kwa muda mchache ili kupisha marekebisho ya studio hiyo Meneja Bab Tale ameonyesha kipande cha video kinacho onyesha Muonekano mpya wa studio hizo  huku kivutio kikubwa ni Picha ya Alikiba ikionekana kati ya picha za Mastaa wa Muziki hapa Bongo akiwepo Marehemu Bibi Kidude na wengine wengi.

Tizama Kipande hicho hapo chini.

Wataalamu wa mambo wanadai kwamba hiyo ni kick ili kuboost ngoma mpya itakayo kuja ilofanywa Na Mond akiwashirikisha P Square. Mhhhhh yetu Macho......

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...