Picha: Tizama jumba jipya alilo nunua Kendall Jenner huko Hollywood

Mtandao wa TMZ umeripoti kwamba mwana dada Kendall Jenner anahamia huko West Hollywood kwenye jumba la kifahari alilo nunua. Jumba hilo limemgharimu mlimwende huyo kiasi cha $6.5 million. Tizama video fupi inayo onyesha Uzuri wa Jumba hilo.

Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.